Breaking News

JUAN CUADRADO AKUBALI KUMUACHIA NAMBA 7

JUAN CUADRADO AKUBALI KUMUACHIA NAMBA 7, CR7 UKO JUVENTUS.
Mara tu baada ya kukamilika kwa Uamisho wa mshambuliaji Christian Ronaldo maarufu kama cr7 kutoka real Madrid kwenda Juventus kwa dau la Euro 105,Mchezaji aliyekuwa akivaa namba hiyo Juan cuadrado akubali kumuachia namb hiyo mshambuliaj huyo mara tu baada ya kutua (Juventus) ALLIANZ STADIUM

No comments