Breaking News

Coastal Union upo mbioni kumtambulisha Alikiba

meripotiwa kuwa uongozi wa Coastal Union upo mbioni kumtambulisha Alikiba kuwa mchezaji wao tayari kwa msimu ujao. 
Inasemekana tayari Alikiba ameshafanya makubaliano na uongozi huo na muda wowote kutoka sasa watamtangaza .

No comments