Breaking News

Chidi benzi aja na ujio mpya chin ya lebo ya lady jay recorda

Chidi Benzi aja na ujio mpya chin ya lebo ya Lady Jay Recorda
Pia CHID BENZI  Amesema amefurahi saan baada ya kusain mkataba na lebo hiyo pia atahakikisha hatoiangusha na atafanya kazi kwa bidiii maneno haya ameyasema mfalme huyo wa HIPHOP na anawaomba mashabiki wake wasisikie maneno ya watu kwani yeye hayuko hivyo wanavyo mfikiria pia anachukuia kusikia watu wanamuhusisha na utumiaji wa madawa ya kulevya pia anawaomba muupokee ujio wake mpy toka katk lebo ya LADY JAY RECORDS chin ya producer man jay amemariza na kusema king kon chuma kiongozi wa LAFAMILIA  Toka pande za ilala.ataachia ngoma mpy mwezi huu wa 10 mkae mkao wa kuipokea ngoma hyo.
chidi benzi aja na ujio mpya chin ya lebo ya lady jay recorda

No comments